Wednesday, 26 April 2017
MWENYE DHAMBI HUNA RAHA
Fanya sasa maamzi ya kuokoka na Bwana Yesu yupo amekusubiria, anagonga mlango aingie moyoni mwako, mkubalie, usimhuzunishe, mkaribishe, anakupenda, anakubembeleza, anakuhurumia, hadi akakufia msalabani! mhurumie na wewe kama alivyokuhurumia, maana alikuja duniani kwa ajili ya dhambi zako, magonjwa yako, mateso ya kila namna uliyonayo, na pia kukuandaa kwa ajili ya kwenda kuishi naye Mbinguni, mahali pazuri sana alipopaandaa kwa ajili yako na kwa ajili yangu pia (Yoh 3:16, Mt 11:28 & Ufu 21:1-7); MIMI NINAYE YESU, WEWE JE?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment